Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Ila mama j kama hajakuweka kwenye chungu sijui...
Watu wengi wanatafutaga mchepuko ili kupunguza stress za ndoa
Ila wewe mchepuko ndo anakupa stress
Hahahah kuwa makini asije akakuvuruga mpaka siku ukaomba ushauri kwa wife
Ha ha ha....
Sijafika huko na siwezi fikia huko dada angu, niko nae mwaka wa 4 huu tunaenda.
 
Ikifikiaga hapo kwenye "Usinitafute Tena na Namba Yangu Ufute" huwa nashikwa na hasira sana, then ndiyo sikutafuti tenaaa hata ufanyeje, yani from that moment sikujibu na namba sifuti na naendelea kuview status zake vizuri tuu 🤣🤣

 
Nami nafikiria kumfanyia hivyo hivyo mkuu
 
Jamaa sometimes anazingua alafu Cha ajabu anasema mke wake yupo poa sana kwanini ujitese kote huku wakati una mke mzuri eti kwasababu ya mbususu si ujinga Huu watu kama hawa ndio maana wake zao wanagongewa wanashindwa kuwa karibu na wake zao muda huo vijana wa ovyo wanatumia huo mwanya kuwala wake zao vip Antonnia, Beesmom na Kelsea mnasemaje kwenye hili
 
Huyo mambo yake tumuachie mwenyewe tu mkuu!
 
Mwanamke Malaya Ni Malaya TU,
Mwanaume ukikosea kuoa, ukaweka ndani mwanamke Malaya jua hiyo imekula kwako. Watakugongea Sana TU.

Nnachojua
Hakuna excuse yoyote kujitetea mwanamke malaya akifanya umalay wake.

Wapo Wanawake wajane,waliaochwa na walio single wengi sana wanaojitunza mpk wanakufa hawajashiriki mapenz na wanaume tofauti na waume zao.

Tusipende sana kugeneralize mambo
Wapo Wanawake wengi wanajiheshimu na kuheshimu ndoa zao.

MKE wangu Ni mmoja wapo,
namshkuru sana mungu na wake zangu
Kwa kunipatia zawadi Hii ya mke Bora na mama Bora wa watoto wangu.
 
Uzuri kaamua Mwenyewe kwa hiyo tumuache yakimshinda atajiengua.
 
Unaishi maisha magumu sana mkuu, anyway kila mtu ana udhaifu wake, huu nao ni udhaifu wako mkubwa tu.

Ukiwa na mke ndani unaweza kuacha mwanamke mwingine yoyote at any time T bila hata kuambiana "bye"!
Mkuu,
Kwa kuchepuka huku nmepata kujua kumbe mungu kanitunuku mke Bora kabisa. Ujue Unaweza kuishi na MKE ila ukawa unamchukulia poa poa sana,

Ila ukitoka nje ukakutana na Wanawake vichomi type za kina mamaJ, unagundua kumbe Kuna wanaume wengine wanapitia maisha flan magumu sna kwa kua na wake type hizo.

Kwa hili la mamaJ,
Najifunza mengi Sana,
Na sarakasi hizi zinazidi kunifanya nimpende zaidi MKE wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…