Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Ila watu mnacchezea ela jamani duh.
Alafu hivi bar kama mimi sijaagiza nawezaje kulipishwa?
Hivi huo uswahili wa kugawa nyama kwa plate mtu anaupataje?
Kemea hiyo tabia kwa huyo mchepuko maana atakuaibisha siku uko na wat mnaheshimiana
La mwisho kila ukienda bar na huyo soo called mama j
Mchukulie kukuchoma mixa mbuzi na ndizi/chips mkeo na watoto wako.
KILA UKIENDA utanishukuru baadae
Ukipigwa changamoto mama j atakimbia hata umkabidhi Atm....kwa sasa ila letsay umelala kitandani uwezi kuzichanga
Watoto na mkeo ndo watapambania kombe
So usispend ela nyingi hivyo nje
200k+ in a day??
Samahani kama nimekukera
Umeongea point san. Muda mwngne inabd ufanye usawa kwa pesa unayotoa kwa mchepuko na mke aipate hiohio au zaid.
 
mkuu,
Utakua umeanza kufatilia habar za mamaJ juzi juzi TU Hapa, au Hauko updated vzur na yanayoendelea kwny nyuz hizi za mamaJ
Uzi uliopita Kuna mtu Kama wewe alileta hoja Kama zako, ikbd nilirekodi mazungumzo yangu ya sim na mamaJ kuhusiana na mgogoro tulokua nao kwny Uzi husika nikayaweka hapa.

Ila mtu mbishi Ni mbishi TU,
bado jamaabalinifata pm akibisha kua nimetengeneza sauti sio mamaJ na kuomba atumiwe video pm nikiwa mimi na mamaJ tunakiss. Ikabd nimpuuze tu

Unapaswa kujua siko Hapa kufurahisha genge, mamaJ yupo anafahamika na baadhi ya members wa humu mmu.

Na member wengine tumeku karibu kias hata sura wanamfahamu,wengine tushatoka nao kiwanja wanamjua na washakunywa nae bia.

Kama wao wapo interested watakuja kujitaja hapa, sio kazi yangu kuwaanika.
Tutumie picha ya mama J.
 
Umeongea point san. Muda mwngne inabd ufanye usawa kwa pesa unayotoa kwa mchepuko na mke aipate hiohio au zaid.
MKE wangu namhudumia ipasavyo,

Ndo Maana unaona katulia hanipi stress na hatugombani, Ingekua sio hivyo ndoa yangu ingekua na misukosuko Sana.

Na lazima ungekutana na Uzi wangu hata mmoja nikisapoti au kujutia kuoa,kuzipinga ndoa au nikimlalamikia MKE wangu,

Kiukweli Ni mke wangu Ni mwanamke Bora Sana nmepata maishani mwangu,
sijutii kumuoa wala kuishi nae Maana amekamilika kila idara Kama mama bora wa familia yangu.
 
Nina mwanagu mmoja anakwambia yy hatembei na mchepuko husio na hela na wengi single mothers, ila sasa wengi wao wanamkomalia awaoe.

Kuna huo mmoja wa Ubungo ilikuwa bado kidogo uhatarishe ndoa ya jamaa.
Mwamba unanifurahisha sana yaani wewe unaletaga tu story za rafiki zako sijawahi kusikia ya kwako hivi hupatagi changamoto za mahusiano? au upo single mpaka Leo?
 
Pump attendant aende kukagua mahesabu ya vituo vya mafuta mikoani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Watu wa Finance hawapo?.

Anyway. Kuna watu Wana fantasy. We yakwako Ni kwenye mahusiano ya huyo mwanamke uliyemuumba, Mama Jay.

Unavyosema ulete story za uongo ili iweje.
Ni kwasababu ww unapenda attention..na njia nzuri uliyoona Ni Hiyo, kutumia story zenye muendelezo .

Yaan Kama Series na episode zake.

Sijui tuuiteje?..

Hayanihusu, Ila [emoji817] sio story za kweli.
Unazipa uhai.

I read btn the line kwenye kila story yako unayoileta, Ni vile Leo nikaamua niseme tu.
 
Mwamba unanifurahisha sana yaani wewe unaletaga tu story za rafiki zako sijawahi kusikia ya kwako hivi hupatagi changamoto za mahusiano? au upo single mpaka Leo?
Akikujibu nitag,
Rafiki yetu mambo yake yamenyooka straight
 
Mwamba unanifurahisha sana yaani wewe unaletaga tu story za rafiki zako sijawahi kusikia ya kwako hivi hupatagi changamoto za mahusiano? au upo single mpaka Leo?
Napataga mbona ila sijawahi kuandikaga thread, ila kuna thread za watu nyingi nishashare niliyo kutana nayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ukiwa na akili hata kidogo, story nying za huyu jamaa Ni kusadikika. Ingawa anajaribu kuzipa uhai wa uhalisia.

Hasa ambavyo anatuma na ushahidi wa majibizano ya simu (ambayo ni fake pia). (Anatumia Simu kitochi-mama jay- kutuma sms kwenda kwa smartphone).

Kuna Sehem mama Jay kaenda choon Mara mbili wakat hajamaliza Ile Savanna moja. We umeona Wap?.

Mama Jay anaishi mwenyewe Ila kila siku anamaliza mkate mmoja. [emoji849][emoji849] Maana ndan ya siku 3(alhamisi, ijumaa na jumamosi) zinazofuatana Jamaa kaenda kwa mangi kununua mikate.

Kuagiza Amarura 4 kwa wakat mmoja, we umeona Wap[emoji849][emoji849][emoji849].

Unaenda kwa mwanamke unaoga tu, unaacha Kodi ya meza.


Mama Jay huyu huyu ambae sikumbuk Kama nyuma alikuwa anakazi.
Maana kutwa nzima Ni kulewa na shosti ake. Mara kulipiwa Kodi. Mara anakataa elfu 5 ya chakula. Leo hii eti amekuwa supervisor anapewa aka process cheque ya mill 2 na anaenda nayo nyumban bila kuwatumia wenzake.


Anyway, jamaa ni mtunzi mzuri. Ana weza kuipa uhai story yoyote.
Ukifuatilia sana JF kila story chai sema zinatofautiana ladha
 
Ukifuatilia sana JF kila story chai sema zinatofautiana ladha
kuna Mikasa ya kweli kabisa. Unasoma na unahisi kabisa mtu kapatwa na Jambo.

Ila series za huyu jamaa na Mama J.
Sio za kweli.

Ni fantasy Yake.

Mama j is not real. Ni imaginary woman mwenye uhusiano na jamaa kwenye dunia yake kichwan.

Ninachomsifu, Ni jinsi anavyoweza kuipa uhalisia story ya Mama j.
 
Naona Umecheka Sana mkuu[emoji28]
Hapo kwwako ndo kigoma mwisho wa reli, hupindui

Na kama hii ishu ni kweli, basi mwanamke anajua kama we hupindui, ndio maana anajibu anavyojisikia.

Mama j unanikumbusha goma langu moja hivi, ila nishampotezea kabaki kuongea kwa watu tu, nimeoa naringa 😂🤣
 
Pump attendant aende kukagua mahesabu ya vituo vya mafuta mikoani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Watu wa Finance hawapo?.
Kama hujui kitu uliza,

sio kujitia ujuaji usiokua na tija,
Alokwambia Watu wa finance ndo ukagua petrostations ni Nani?

Unajua mamaJ ana elimu gani?

Unajua aliajiliwa vipi na kwa nafasi ipi pale kazin kwake?

Au ndo umesoma elimu zenu za kukariri mavitabu yenu na kujitia ujuaji kila jambo
 
Back
Top Bottom