Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Udini mlianza wenyewe toka enzi za CUF,tulieni dawa iwaingieUkiwachunguza utakuta ni wadini.
Wapalestina wanagombea ardhi yao iliyovamiwa.Nyie mmevamiwa na nani?Hata elimu hiyo ndogo uliyonayo ndio unafananisha mgogoro wa Palestina na Israel na Chadema?Kweli ujinga hauna kikomo.Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Dunia ina maajabu sanaNilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Kwa nini mayahudi na si wayahudi?Mayahudi!
Watetezi wa waarabu 😅😅😅😅😅mimi nimekoma, nimewaachia.Ni watetezi wa Palestina au Hamas? 😂
Mimi simo ktk kundi hilo la kufurahia mtu kupigwa hasa ktk mambo ya vyeo vya kiduniaNilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Tatizo ni mateja wa deenNilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Upo kundi Gani??Mimi simo ktk kundi hilo la kufurahia mtu kupigwa hasa ktk mambo ya vyeo vya kidunia
Mahita vile Deen Gani??Udini mlianza wenyewe toka enzi za CUF,tulieni dawa iwaingie
Nimekushusha thamani sana, unalinganisha chadema na wapalestina?Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Utofauti wa matendo ya Israel Kwa wapalestina na CCM kwa CHADEMA uko wapi?Nimekushusha thamani sana, unalinganisha chadema na wapalestina?
Kumbe wee jamaa hamnazo kichwani