Ni Kweli wana jitakia.Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Angalia sehemu walotaka kufanya mkutano.
Sehemu mbili za kuingilia na kutokea.
Sehemu ile ni ya biashara.
Kufanya mkutano pale na kuleta tafaruki kwa wafanya biashara na pia kuleta usumbufu kwa watu ambao wakawaida waso husika na siasa.
Uongozi wa chadema kwa busara zao wasinge chaguwa sehemu ile.
Wengetafuta sehemu nyingine.
Juilize mara ngapia wamefanya maandamano na kulindwa
Mara ngapi wa mefanya mikutano bila bughuza.
Lakini ni wabishi sana baada kuambiwa msifanye wawo wakabisha na kutaka lazima ufanywe.
Wamejitakia