Ni Kweli wana jitakia.Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama na kusema hakuna mfanano.
Nikashangaa Sana!
Chalamila mikutano yake huwa anaifanyia wapi?Ni Kweli wana jitakia.
Angalia sehemu walotaka kufanya mkutano.
Mayahudi ni majitu makatili. Yenyewe kutesa na kuua mtu, ni furaha.Kwa nini mayahudi na si wayahudi?
Basi unajiona mwenye akili kwelikweli!Wapalestina wanagombea ardhi yao iliyovamiwa.Nyie mmevamiwa na nani?Hata elimu hiyo ndogo uliyonayo ndio unafananisha mgogoro wa Palestina na Israel na Chadema?Kweli ujinga hauna kikomo.
Maislam vipi hayauwi na kutesa?Mayahudi ni majitu makatili. Yenyewe kutesa na kuua mtu, ni furaha.