Kuna watu ukiwasikiliza vizuri unagundua kujibizana nao ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo

Kuna watu ukiwasikiliza vizuri unagundua kujibizana nao ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya

UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO

1. Wanaongea kwa mihemko .
2. Wamedandia tu mada hawana ukiwabana sana hawana uthibitisho wowote.
3. Ni kawaida yao kuongea hovyo.
4. Hawana la kufanya ndio maana wameamua kuropoka tu.
5. Ni masikini wa fikra.

WASIKILIZE KWA UMAKINI SANA KISHA UKIJUA AKILI ZAO ZIKOJE AMUA KUWAPUUZA TU

Mwanasayansi Saul kalivubha
fikia ndoto zako.
 
Back
Top Bottom