Kuna watu wagumu kuelewa

Kama nakudai na tarehe ya ahadi imefika utanisamehe tu
 
wasipopiga simu "Hawanitafuti ndugu zangu..." wakipiga simu "Ebo! Huyu msumbufu kweli".... Ndo dunia, rahisi sana kuelewa watu ila ngumu sana kujielewa wewe mwenyewe
 
wa kunitafuta yupo ambae lazima nipokee na nijibu sms hata akipiga video call napokea wengine no
Mbona mkiwa na shida ya pesa huwa hamtak kuwaomba ambao mnahisi ndo wanatakiwa wawasaidie mahitaje yenu,instead mnalia lia kwa mtu ambae hta hamna ukaribu ambao ww hutak kuuweka?
 
Kweli uzuri wa kitu upo machoni mwa mtu..! Pole yake anayeanfaika 4yrs sababu ya penzi la kiporo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…