Kuna watu wagumu kuelewa

Kuna watu wagumu kuelewa

Wewe upo kama Mimi, Kuna jamaa ni ndugu yangu yani haipiti siku hajanipigia simu hadi kero. Ni kuuliza tu, mambo VP? Uko poa? Mvua inanyesha?, Sasa masuala ya mvua yanamhusu nini? Vitu vya kijinga jinga tu.
Daaah aisee
 
mvua inanyesha???[emoji23][emoji23][emoji23]
mambo,uko poa,za masiku,kheri lakini?mvua zinanyesha huko?
hawajambo ,nipe story
hapo anatuma kisms kimoja kimoja kila saa umjibu
 
Wewe upo kama Mimi, Kuna jamaa ni ndugu yangu yani haipiti siku hajanipigia simu hadi kero. Ni kuuliza tu, mambo VP? Uko poa? Mvua inanyesha?, Sasa masuala ya mvua yanamhusu nini? Vitu vya kijinga jinga tu.
Labda unafanya kazi mamlaka ya hali ya hewa
 
Back
Top Bottom