Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Eeeh sawa basi maana naona huruhusiwi kabisa kujibu mpaka upewe go ahead.Sasa kama ni safari ya kwenda kuongezea kwa mganga mpaka ajue jamani?
K Vant kila siku babu sinitakuwa teja?Hako kaugonjwa kabaya sana. Hatimaye mi nimekapatia dawa. K Vant kwa wingi.... baaaas!
Safari ijayo nitakukaribisha. Usibugie maana nikikupa juice ujue ina valeur au konyagi. Usije kupitiliza kituo bure au kumakia kwenye kejo yangu.Wanaume wa sikuhz wengi wachoyo unasafiri na mtu yuko busy kutafuna mavitu yke .mwenyew
Haya maswali mengine ndo hufanya watu kutolewa bungeni.....Ulijuaje kama amekuzidi miaka 10
hata kwa usemi yaonyesha wewe ni Guide/gaidi[emoji23][emoji23]Huo moyo ndio moyo muumba amenipa! Kiukweli tumebaki wachache sana
Uyo mzee nimemzid kwa ukarimWiki iliyopita nilisafiri kwenda Tanga, nilipanda basi la Raha Leo. Pembeni yangu alikaa mwanaume amenizidi miaka kama 10 hivi. Nilikuja kugundua baadae ni m-Pakistan na Kiswahil aliongea kidogo sana.
Jirani yangu huyu alikaa siti ya dirishani. Alikuwa amejiandaa kweli kwa safari. Alikuwa na mfuko wa makula kula. Kwenye mfuko alikuwa na meat chops, biscuits, chocolate, juice.
Tulipifika Chalinze nilimuomba aninunulie korosho kwani yeye alikuwa amekaa dirishani, ndipo nilipogundua uwezo wake wa lugha ya Kiswahili.
Alipoanza kutoa vyakula, alinikaribisha meat chops, nilijibu asante, kabla ya kutoka nyumbani nilipiga breakfast ya nguvu na nilijua lunch ya ugali na mchunga inanisubiri kwangu mimi korosho zilitosha.
Baba huyu roho yake ilisononeka sana kwa kukataa kwangu kula chakula. Alinipa chocolate, ilibidi niichukue kumridhisha.
Aliniacha hoi, alipofungua box la juice na kuniambia nianze kunywa mimi kwani anajua akianza yeye mimi sitakunywa. Nilimuomba kuwa mimi ni mzima, nilikuwa na chupa ya maji nikamionyesha huku nikimfahamisha kuwa ninapunguza matumizi ya sukari, kwangu mimi maji ndiyo mpango mzima.
Huu ni Mfano wa gentleman ambao wamebaki wachache sana.
Wanaume wa sikuhz wengi wachoyo unasafiri na mtu yuko busy kutafuna mavitu yke .mwenyew
😀😀nitakula kwa stepSafari ijayo nitakukaribisha. Usibugie maana nikikupa juice ujue ina valeur au konyagi. Usije kupitiliza kituo bure au kumakia kwenye kejo yangu.
Kuna mdada nlmnunulia hivi vituHaha eti slow slow
Shule ya msingi au chekechea?Kuna mdada nlmnunulia hivi vitu
Karanga za 100
Bigijii za 100
Pipi za 100
Biskut ya 100
Jumla 400
Alinipenda kinoma ...
Huo mwendokasi usipande Express! Ukipanda express utajikuta mmeshafika wakati haki ka experiment kako hakajafika hata robo[emoji2] [emoji2]Haka ka method ntakatumia kwenye mwendo kasi wetu.
Ntanunua maji kilimanjro makubwa ntavizia nikae na kam dada ntamkaribisha namwambia sinywi mpaka aanze yeye kwanza akikataa namwambia nayamwaga..........
Wadada zetu wanavyojua kutumia fursa watakubali tu...
[emoji5][emoji5][emoji5]
Safi[emoji3][emoji3]nitakula kwa step
Unamwongelea CAG wa sisiemu??Binafsi nikikutana na mtu, nikimuangalia tu nina uwezo wa Ku guess his or her age Japo kuna watu wanantatanisha mf slow slow