Kuna watu wakarimu dunia hii

Kuna watu wakarimu dunia hii

Wanaume wa sikuhz wengi wachoyo unasafiri na mtu yuko busy kutafuna mavitu yke .mwenyew
Safari ijayo nitakukaribisha. Usibugie maana nikikupa juice ujue ina valeur au konyagi. Usije kupitiliza kituo bure au kumakia kwenye kejo yangu.
 
Haka ka method ntakatumia kwenye mwendo kasi wetu.

Ntanunua maji kilimanjro makubwa ntavizia nikae na kam dada ntamkaribisha namwambia sinywi mpaka aanze yeye kwanza akikataa namwambia nayamwaga..........

Wadada zetu wanavyojua kutumia fursa watakubali tu...
[emoji5][emoji5][emoji5]
 
Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Tanga, nilipanda basi la Raha Leo. Pembeni yangu alikaa mwanaume amenizidi miaka kama 10 hivi. Nilikuja kugundua baadae ni m-Pakistan na Kiswahil aliongea kidogo sana.
Jirani yangu huyu alikaa siti ya dirishani. Alikuwa amejiandaa kweli kwa safari. Alikuwa na mfuko wa makula kula. Kwenye mfuko alikuwa na meat chops, biscuits, chocolate, juice.

Tulipifika Chalinze nilimuomba aninunulie korosho kwani yeye alikuwa amekaa dirishani, ndipo nilipogundua uwezo wake wa lugha ya Kiswahili.

Alipoanza kutoa vyakula, alinikaribisha meat chops, nilijibu asante, kabla ya kutoka nyumbani nilipiga breakfast ya nguvu na nilijua lunch ya ugali na mchunga inanisubiri kwangu mimi korosho zilitosha.

Baba huyu roho yake ilisononeka sana kwa kukataa kwangu kula chakula. Alinipa chocolate, ilibidi niichukue kumridhisha.

Aliniacha hoi, alipofungua box la juice na kuniambia nianze kunywa mimi kwani anajua akianza yeye mimi sitakunywa. Nilimuomba kuwa mimi ni mzima, nilikuwa na chupa ya maji nikamionyesha huku nikimfahamisha kuwa ninapunguza matumizi ya sukari, kwangu mimi maji ndiyo mpango mzima.

Huu ni Mfano wa gentleman ambao wamebaki wachache sana.
Uyo mzee nimemzid kwa ukarim
 
Alikuwa anakuvizia mkuu ili ujae afanye yake...
 
Haka ka method ntakatumia kwenye mwendo kasi wetu.

Ntanunua maji kilimanjro makubwa ntavizia nikae na kam dada ntamkaribisha namwambia sinywi mpaka aanze yeye kwanza akikataa namwambia nayamwaga..........

Wadada zetu wanavyojua kutumia fursa watakubali tu...
[emoji5][emoji5][emoji5]
Huo mwendokasi usipande Express! Ukipanda express utajikuta mmeshafika wakati haki ka experiment kako hakajafika hata robo[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom