Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
yaan kila nikisikiliza huu wimbo na mzuka alotumia namlaani aliye muua huyu lucky dube
vile unawezaje kumuua mtoto wa dandu jaman
unamuuaje michael jackson jamani watu hamna utu
vile unawezaje kumuua mtoto wa dandu jaman
unamuuaje michael jackson jamani watu hamna utu