Kuna watu wakipata hela huwa wanahangaika sana

Sioni shida hapo,we unatumia choo Gani mpaka ukianzishie uzi hiki, ila nakubali pesa za kupata haraka haraka au za Dili zinaleta ulimbukeni sana, kuna mnada Nilienda bank walikua wanauza nyumba ya mtu... Aisee master bedroom Kuna vyoo viwili... Yaani choo na bafu, afu choo na bafu tena kwenye chumba hikohiko.. mpaka Leo sijawahi kuelewa mantiki yake
 
Hataki kunya huku mumewe anaona. Mkibanwa kwa pamoja.
 
πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€
 
Hio pesa angeleta tununue grants za jumla kama 700 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…