Kuna watu walichonga majeneza yao wenyewe Serikali ya Awamu ya Tano

Hakuna atakayekamatwa hata mmoja zaidi ya Sabaya, hawa wengine wana siri nzito za dikteta
 
Swali la msingi sana waliloshindwa kujibu mumiani wale ni je, tulikua tunarekebisha katiba zetu za chama na nchi kwa ajili ya Dkt John Pombe Magufuli au Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Wachumia tumbo tu akina alihassani mwinyi, Pinda, Ali Sumbawanga, LY wa dodoma na akina Msukuma njaa.
 
Vieiti Toyota
 
wamuulize Lowasa na Membe, wameshaonjo joto la katiba ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…