Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mashabiki wavumilivu ndio wanaokula mbivu, Simba inapoyumba yumba wanayumba nayo inapoinuka wanainuka nayo.
Lakini kwa wengine baada ya Simba kuyumba kidogo msimu uliyopita mashabiki wasio wavumilivu walijitangaza waziwazi na wengine kimyakimya kuhamia Yanga.
Leo walewale wanakuja kimya kimya!
Sawa, karibu nyumbani! Ila msirudie upumbavu!