Kuna watu walihamia Yanga sasa wanarudi kimya kimya

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Mashabiki wavumilivu ndio wanaokula mbivu, Simba inapoyumba yumba wanayumba nayo inapoinuka wanainuka nayo.

Lakini kwa wengine baada ya Simba kuyumba kidogo msimu uliyopita mashabiki wasio wavumilivu walijitangaza waziwazi na wengine kimyakimya kuhamia Yanga.

Leo walewale wanakuja kimya kimya!

Sawa, karibu nyumbani! Ila msirudie upumbavu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
The Lion 🦁 hana tabia ya kuwapokea wageni walaaa!
Na kwenye kuwashangilia hao wageni, imekaaje! Kiasi cha kutaka kulipiwa mpaka tiketi na gharama nyingine zote! eti mkawashangilie tu waarabu wakipambana na mabingwa wenu wa ligi kuu ya NBC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…