The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Aibu Sana Hii Hiki Chama Dollar Kinaiua NchiNakumbuka waliweka mpk vikao na kuita waandishi wa habari eti pesa ya Tanzania imearika kutoka 2600 mpk 2400 sasa yetu hayo umerudi kulekule
Great Thinkers.
Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.
Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyingune mjifunze analysis za financial markets.
View attachment 3276378View attachment 3276388Sasa hivi hawaonekan
Aha 😄 🤣 😂 ccm wajinga.sanaNakumbuka waliweka mpk vikao na kuita waandishi wa habari eti pesa ya Tanzania imearika kutoka 2600 mpk 2400 sasa yetu hayo umerudi kulekule
walisema wameuza sana korosho nje ya nchi😀Mwafaa
By Jiwe
Ujinga Mwingi Sana, Mara TRA Imekusanya Mara Dufu Kodi
Mara Deni Ni Himilivu, Kucheka Mtacheka Ila Tanzania Inadoda Wahuni Sijui Mzalendo
Bado Gavana, Waziri Wa Pesa Hawajaachia Ngazi Wanakula Mema
Utapeli tu..CCM hawajawahi kuwa serious wezi.wakubwa hawawalisema wameuza sana korosho nje ya nchi😀
Shida ni kwamba ,wanatujua.Mwafaa
By Jiwe
Ujinga Mwingi Sana, Mara TRA Imekusanya Mara Dufu Kodi
Mara Deni Ni Himilivu, Kucheka Mtacheka Ila Tanzania Inadoda Wahuni Sijui Mzalendo
Bado Gavana, Waziri Wa Pesa Hawajaachia Ngazi Wanakula Mema
Dah,Great Thinkers.
Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.
Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.
View attachment 3276378View attachment 3276388
Black market ni 2700Dah,
Nimetoka kumtupia mtu muamala sasa hivi M-Pesa kwa rate ya Tsh 2645 kwa USD 1.
View attachment 3276782
Kwamba Hatuna La Kufanya Zaidi Wanasema Lolote WatakubaliShida ni kwamba ,wanatujua.
Haa Yaani CCM Inatia Kinyaawalisema wameuza sana korosho nje ya nchi😀
Ndivo ilivo,tunajichekesha km manyumbu,na kuanza kusia,...ukuona yule kiongozi alisema tuhamie Burundi???Kwamba Hatuna La Kufanya Zaidi Wanasema Lolote Watakubali
Great Thinkers.
Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.
Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.
View attachment 3276378View attachment 3276388
Great Thinkers.
Wale ng'ombe wako wapi walikuwa wantupigia kelele hapa ko ko ko ko ko ko ko Mama kaupiga mwingi hadi kashusha thamani ya dollar huku mataifa mengine ikipanda.
Tuliwaambia kilichokuwa kinafanyika ni retracemnt tu then iruke kama kawaida. Wahuni walinunua dollar za kutosha kipindi hicho mnahangaika kurundika note za TZS washamba wakubwa ninyi . Siku nyingine mjifunze analysis za financial markets.
View attachment 3276378View attachment 3276388
View attachment 3276991