CCM ni ileile.Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
Hivi alipata hata wasaa wa kutubu kweli?Ubishi yeye!Ujuaji yeye!Kul kiituu yeye!ππππAmuulize hayati mwendazake ...! Amwambie CHADEMA ninini...!!!!
Kibri mpaka dakika ya mwisho.. Na muda ulipotimia it was too late to repent ...!!!Hivi alipata hata wasaa wa kutubu kweli?Ubishi yeye!Ujuaji yeye!Kul kiituu yeye![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia Mama anaupiga mwingi sana kuelekea lango la adui, mashabiki wao wamebana mikono kwenye maungio ya mapaja yaoHivi alipata hata wasaa wa kutubu kweli?Ubishi yeye!Ujuaji yeye!Kul kiituu yeye!ππππ
Hilo silifahamu.Kwani amejiunga Yanga Princess lini?Nasikia Mama anaupiga mwingi sana kuelekea lango la adui, mashabiki wao wamebana mikono kwenye maungio ya mapaja yao