Tetesi: Kuna watu wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea Urais Mbowe kama WanaCUF watamchukulia Prof Lipumba!

Tetesi: Kuna watu wamejipanga kumchukulia Fomu ya kugombea Urais Mbowe kama WanaCUF watamchukulia Prof Lipumba!

Wasema wewe,mimi nimesema Tundu Lissu kutangaza nia imewavuruga wanaccm wengi kuanzia mwenyekiti wao Taifa,hiyo ya ugombea wa kudumu ni tafsiri ya hicho kilevi unachofakamia sasa hivi.
2020 Nyalandu alidai Tundu Lisu alikwiba kura zake za Maoni 😀😀
 
2020 Nyalandu alidai Tundu Lisu alikwiba kura zake za Maoni 😀😀
Nyalandu kura hizo alizipata wapi wakati alikuwa wa kuja tu Chadema? Unazidi kuhamisha magoli tu,umeshalewa sasa kalale uamke na akili mpya kesho.
 
Back
Top Bottom