Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti.

Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
 
Nadhani waokozi wengine wasio waaminifu walizama kupiga peche/ kuiba.
Na kariakoo lazima kuna vibunda vingi vimefukiwa pale
 
Mkuu wanavyosema kuwa inasadikika kuwa ndani kuna watu wengi bado, ni kweli?
Bado wanaendelea kuokoa, sio.kazi rahisi jana tu jengo liloendelea kushuka. Na eneo Zima lina harufu kali Balaa hakuna aliyefungua Duka na Barbara zimefungwa

Haikuwa kazi rahisi, must have
must have been so hard. .
 
Back
Top Bottom