Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namsikiliza moja ya wafanyabiashara wakubwa kariakoo anaongea kupitia wasafi..insta.Bado wanaendelea kuokoa, sio.kazi rahisi jana tu jengo liloendelea kushuka. Na eneo Zima lina harufu kali Balaa hakuna aliyefungua Duka na Barbara zimefungwa
Haikuwa kazi rahisi, must have
must have been so hard. .
Ndio yalichimbwa Nathaniel kipindi cha ujerumani. Kariakoo kuna Mashimo unashuka na ngazi...Namsikiliza moja ya wafanyabiashara wakubwa kariakoo anaongea kupitia wasafi..insta.
Anasema KARIAKOO huko chini kuna mashimo marefu kama Mererani, yaani yanavuka hata baadhi ya barabara
Ukaguzi wa kina unahitajika harakaNdio yalichimbwa Nathaniel kipindi cha ujerumani. Kariakoo kuna Mashimo unashuka na ngazi...
Kuna siku niliona mtu kadumbukia acha yani huko chini ni Giza tu. Sewage hizi Nathaniel zilichimbwa zamani sana.
Ukidumbukia walahi hutoki
Majengo yako karibu sana which also si sawa. Kuna sehemu niliona mtaalam akizungumzia hiliUkaguzi wa kina unahitajika haraka
Yawezekana uyasemayo ni sahihi maana akili za watanzania wengi ni mgandoHaya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti.
Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu