Bado wanaendelea kuokoa, sio.kazi rahisi jana tu jengo liloendelea kushuka. Na eneo Zima lina harufu kali Balaa hakuna aliyefungua Duka na Barbara zimefungwa
Haikuwa kazi rahisi, must have
must have been so hard. .
Namsikiliza moja ya wafanyabiashara wakubwa kariakoo anaongea kupitia wasafi..insta.
Anasema KARIAKOO huko chini kuna mashimo marefu kama Mererani, yaani yanavuka hata baadhi ya barabara