C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Oct 3, 2023 #1 Nimeona wasemaji wa club moja wanahamu ya kubetuliwa na mwamba kwa mara nyingine kiasi kwamba wameandika wazi wamemis sana my wao.
Nimeona wasemaji wa club moja wanahamu ya kubetuliwa na mwamba kwa mara nyingine kiasi kwamba wameandika wazi wamemis sana my wao.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Oct 3, 2023 #2 Your browser is not able to display this video.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Oct 3, 2023 #3 Kuna watu mnawashwa aseeh. Mwezi ujao tarehe kama hizi tunaomba huyo kocha asiwe ameshatimuliwa ili tusianze kupokea sababu za ooh kocha mgeni, mara hajakaa na timu na visababu vinavyo emdana na izo. Maana sasa mnataka kuleta mazoea kwa kaka zenu
Kuna watu mnawashwa aseeh. Mwezi ujao tarehe kama hizi tunaomba huyo kocha asiwe ameshatimuliwa ili tusianze kupokea sababu za ooh kocha mgeni, mara hajakaa na timu na visababu vinavyo emdana na izo. Maana sasa mnataka kuleta mazoea kwa kaka zenu