Kuna watu wamem misi Kibu D

Kuna watu wamem misi Kibu D

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimeona wasemaji wa club moja wanahamu ya kubetuliwa na mwamba kwa mara nyingine kiasi kwamba wameandika wazi wamemis sana my wao.
 
 
Kuna watu mnawashwa aseeh. Mwezi ujao tarehe kama hizi tunaomba huyo kocha asiwe ameshatimuliwa ili tusianze kupokea sababu za ooh kocha mgeni, mara hajakaa na timu na visababu vinavyo emdana na izo.

Maana sasa mnataka kuleta mazoea kwa kaka zenu
 
Back
Top Bottom