Kuna watu wamepoteza muda mrefu kwa style hii!

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Unakuta unafanya kazi na ndugu yako ama mtu baki bila mshahara wowote ni ile pambania kombe tutoke wote! Mzee unapambana hadi biashara inakuwa kubwa baada ya miaka 5 ama 10 unatafutiwa sababu unatemwa bila kupewa chochote ama unaweza ukapewa mtaji wa milioni moja wakati umepambana miaka 10 na umezalisha zaidi ya milioni 100!

Na situation nyingine ni ile mmekubaliana mpambane biashara ikiwa kubwa upewe mtaji na wewe uwe na ofisi yako!

Mzee unapambana mtaji unakuwa mkubwa boss anaamua tu kujifilisi makusudi kwa kuweka pesa kwenye mambo mengine miaka 5 unadai chako unaambiwa biashara imeyumba nitakupa nini!? unabaki tu unatoa macho!

Ni watu wengi sana imewakumba hali kama hii na wengine waliamua kujitoa uhai kabisa!

N:B maboss wa kiafrica huwa hawamalizani na mtu vizuri.
 
Ni kweli kbs ila ili muachane vibaya lazima umuibie, ukishaanza udokozi tubanakutafuta siku ukiingi ktk 18 inakuwa ndio sababu na mnaishia hapo.
Hili la wizi hutokea baada ya mwajiriwa kulijua jiji na kupokea ushauri wa watu kuwa chukua chako mapema. Wakati huo wa mchakati wa chako mapema ndipo dhahama ya kufukuzwa huzaliwa.
 
Mimi sio mkabila ila hyo tabia nimeona kwa wasambaa sana ...mfano kuuza kiduka cha mgosi mtu anauza kwa malipo kiduchu au hewa kabisa mfano kwa miaka 5 then anaachiwa duka liwe lake ..kwa kweli nimeona kwa wasambaa ila wanakuwa kama na undugu au wote wanatoka kabila moja...sijawai kusikia wametapeliana nimeona vijana wengi Sana wamefika mbali kwa mtindo huu..

Wanaanza kama kujitolea mpka lile duka la mwanzo likizaa jingine yeye anapewa lile la kwanza almost ni kuanzia miaka 5 naona na kuendelea waliniambia ivyo.
 
Pamoja na yote ni wachache sana wana utu,unaweza ukashangaa unapewa milioni moja wakati umetumika miaka 7 na kuendelea sio fear kabisa
 
Mimi sio mkabila ila hyo tabia nimeona kwa wasambaa sana ...mfano kuuza kiduka cha mgosi mtu anauza kwa malipo kiduchu au hewa kabisa mfano kwa miaka 5 then anaachiwa duka liwe lake ..kwa kweli nimeona kwa wasambaa ila wanakuwa kama na undugu au wote wanatoka kabila moja...sijawai kusikia wametapeliana nimeona vijana wengi Sana wamefika mbali kwa mtindo huu..

Wanaanza kama kujitolea mpka lile duka la mwanzo likizaa jingine yeye anapewa lile la kwanza almost ni kuanzia miaka 5 naona na kuendelea waliniambia ivyo.

Ni baadhi ya makabila ndio hufanya hivyo lkn wengine inakuwa ni hope tu ya maneno
 
Anza yako from down iyo ipo, kuna jamaa alikuwa na mwenzake wameanza ikafika stage wakagombana yule mwenzie akachukuwa vinavyo mamfaa akaenda anzisha kwake saiv kasimama vyema tu
 
Unakuta unafanya kazi na ndugu yako ama mtu baki bila mshahara wowote ni ile pambania kombe tutoke wote! Mzee unapambana hadi biashara inakuwa kubwa baada ya miaka 5 ama 10 unatafutiwa sababu unatemwa bila kupewa chochote ama unaweza ukapewa mtaji wa milioni moja wakati umepambana miaka 10 na umezalisha zaidi ya milioni 100!

Na situation nyingine ni ile mmekubaliana mpambane biashara ikiwa kubwa upewe mtaji na wewe uwe na ofisi yako!

Mzee unapambana mtaji unakuwa mkubwa boss anaamua tu kujifilisi makusudi kwa kuweka pesa kwenye mambo mengine miaka 5 unadai chako unaambiwa biashara imeyumba nitakupa nini!? unabaki tu unatoa macho!

Ni watu wengi sana imewakumba hali kama hii na wengine waliamua kujitoa uhai kabisa!

N:B maboss wa kiafrica huwa hawamalizani na mtu vizuri.
Unatushauri vp mkuu.
 
Ila ni vizur ukawa unachukua kidogo kidogo ili hata mambo yakiharibika na biashara imeshakuwa kubwa usikose hata ka 2mil
 
Back
Top Bottom