Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Unakuta unafanya kazi na ndugu yako ama mtu baki bila mshahara wowote ni ile pambania kombe tutoke wote! Mzee unapambana hadi biashara inakuwa kubwa baada ya miaka 5 ama 10 unatafutiwa sababu unatemwa bila kupewa chochote ama unaweza ukapewa mtaji wa milioni moja wakati umepambana miaka 10 na umezalisha zaidi ya milioni 100!
Na situation nyingine ni ile mmekubaliana mpambane biashara ikiwa kubwa upewe mtaji na wewe uwe na ofisi yako!
Mzee unapambana mtaji unakuwa mkubwa boss anaamua tu kujifilisi makusudi kwa kuweka pesa kwenye mambo mengine miaka 5 unadai chako unaambiwa biashara imeyumba nitakupa nini!? unabaki tu unatoa macho!
Ni watu wengi sana imewakumba hali kama hii na wengine waliamua kujitoa uhai kabisa!
N:B maboss wa kiafrica huwa hawamalizani na mtu vizuri.