BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kuna Gen Z nilikuwa nae kwa mwaka jana sasa mwaka huu mwanzoni Kuna wahuni wakaweka mguu Kati mi naona katoto kanazidi kupendeza afu dharau zinazidi kishingo upande nikakubali yaishe.
Sasa sijui ni mkosi ama udomo zege kila binti nayejaribu kuapproach nakula za uso sasa ikabidi nirudi rasmi kwa Bakari Nondo Mwamnyeto huku nikiendelea kupambana kupata replacement ya Gen Z kangu maana nilikuwa nakaelewa kinoma.
Sasa Jana uvumilivu ulinishinda nikasema lazima niloweke mdogo mdogo mpaka chimbo fulani hapa jijini agiza serengeti zangu tatu nikazikata chap ili kupata vibe sasa nikaanza kutafuta wa kupeleka moto pisi zote zilikuwa mbovu hazikuniamasisha nikakubali yaishe niende kulala na upwiru wangu.
Nakata kona nakutana na demu ana mimba kubwa kwa tathmini ya haraka Ile mimba ni miezi 6+ naye anauza nilishtuka nikampita nikamuonea huruma how come yupo katika hali Ile na bado anauza ila sijui shetani gani liniingia na kuniambia huyo huyo mpeleke moto nikapiga u turn kumfata ili kukwepa fedheha nikamwambia tangulia.
He said, "One day you'll leave this world behind
So live a life you will remember"