Mkuu wanawake mbona wapo kila kona ? Pambania pesa tu ! Utakula size na aina utakazo .....
Achana na hao wanaojipanga barabarani au bar, yeye anaangalia hela tu ... analala na yoyote yule na wewe unachukua unajiona mshindi !
Mamikosi, magonjwa (HIV), UTI sugu, homa ya Ini n.k