Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Nani kakwambia Saud Arabia kuna Kodi ?Kinachowaumiza kule ni kodi, ndani ya billion nane unakuta billion tano yote ni kodi
Vifaa vya simu mzunguko wake sio mzuri hasa vile vya bei kubwa mfano accessories za iphone 12 kwenda juu au galaxy s21 kwenda juu ni changamoto wamiliki wa simu hizi ni wachache sijajua kwa simu nyinginezo (infinix na tecno)Wewe kama huko kichwani kwangu tu, Lakini Mimi Nina 4.5M wazo langu ni vifaa vya simu. Changamoto ni wateja na vifaa kukaa haviuziki.
Jichanganye ma mashuwa,acheni kungangania makidimbwi huko,sjui kitambaa cheupe Juliana mkitegemea mtapata connection
Ova
Sure bro, you nailed it.Hapo ulipo wewe,kuna watu wanaona umebarikiwa sana...
Jifunze kuridhika
Kwani Urubani ndo CV?Ukiwa na CV kubwa lazima mshahara uwe mnono angalia marubani.... nk
Nilijaribu kumwelewa mwamba alikuwa na maana gani sikufanikiwa kabisa😅Endorsement sio enforcement
Wakakae seacliff na ctfm sio 😄Jichanganye ma mashuwa,acheni kungangania makidimbwi huko,sjui kitambaa cheupe Juliana mkitegemea mtapata connection
Ova
Kwa Hui mshahara alnasr wanapata faida kweli?
Nani kakwambia Saud Arabia kuna Kodi ?
Fuatilia uje utoe mrejesho hapa.
Halafu hakuna nchi Ulaya yenye Kodi nyingi kama tanzania
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app