kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Pole mkuu.mpaka nimecheka.Kwa raia wa arusha wanaoifahamu pin point kipindi jina Le manyata linabamba nilienda pale bhn na mim nikaondoe vistress. Sasa kufika nikaambiwa mimi bado chalii siruhusiwi kuingia. Nikalazimisha kuingia. Kuna baunsa mmoja alikuwa anaitwa bachuu kama sikosei.
Aseeh alinipiga teke la mbavu kudadeki huyo jamaa asikatize anga zangu walai.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Namkumbuka aliyenipiga konzi kisa nachungulia kwenye ukumbi wa video
Haa haa haa aiseee mkuuKwa raia wa arusha wanaoifahamu pin point kipindi jina Le manyata linabamba nilienda pale bhn na mim nikaondoe vistress. Sasa kufika nikaambiwa mimi bado chalii siruhusiwi kuingia. Nikalazimisha kuingia. Kuna baunsa mmoja alikuwa anaitwa bachuu kama sikosei.
Aseeh alinipiga teke la mbavu kudadeki huyo jamaa asikatize anga zangu walai.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Pole mkuu.mpaka nimecheka.
Mimi nakumbuka enzi hizo nimeenda kuanza form one sasa muda wa kwenda kufyeka nyasi kwa kutumia kwanja kuna jamaa likaniambia niondoe umande ili lipite nikagoma.Bwaaaana wee likaniita nilipoenda niliamriwa kuinama.ile najishauri tu lilitua bonge la Konzi babu kubwa nilishangaa wote mimi na lile jamaa la form three tumeanguka kwenye nyasi zenye umande.Jamaa lilikuwa na roho mbaya sijapata kuona.Kweli form one enzi hizo ilikuwa ni mateso.nikikumbuka nahisi kichwani bado kuna nundu ya konzi.maana nilikung'utwa si mchezo.Shikamoo form nyoya[emoji15] [emoji15]
Haha pole sana.Pole mkuu.mpaka nimecheka.

Mm kwetu zaid uswazi, nimechungulia sana nimevuliwa hadi shati coz napenda muvi sana ila nimefika mbali now wanangu hawatapitahuko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseeee hii nmeipitia sana
Af unakuta kuangaliw video picha
N 50
Mwanaume wa Dar, utakimbiaje msala kidume mzima pambanaHaha pole sana.
Mim ninazo nyingi aseh.
Kuna moja nilikuwa morogoro sikumbuki kulikuwa na show ya namna gani pale Jamhuri sijui fiesta 2009/10 sikumbuki. Basi bhana show ikaendlea hadi saa 9 asubuhi. Sasa mimi nikawa nakatisha pale DTB niingie kituo cha sokoni nitafute usafiri niwahi kulala . Ile nakunja kona ilitokea cru ya machalii kama 10 hiv aseeh walinishambulia kinoma. Wengine vuta Shati wakanivua buti moja. Ila nikaing'ang'ania nikafanikiwa kuchomoka nilipotea hizo mbio mbuni haoni.
Chaliake kufika gheto najiangalia nina nundu kama maksai. Hadi leo kwa hilo beef waluguru nawapimiaga tu. Na hao jamaa mungu anawaona
Huyo chalii sijui siku hizi kaenda wapi. ..ila atakuwa keshakuwa mzeeHaa haa haa aiseee mkuu
Naona utang"oa meno na playas
Bla ganz
Nilifight sikuweza kuwahimili aseeh ilikuwa nyomi nyomii.Mwanaume wa Dar, utakimbiaje msala kidume mzima pambana
Haa haa haa aisee hata me blaMm kwetu zaid uswazi, nimechungulia sana nimevuliwa hadi shati coz napenda muvi sana ila nimefika mbali now wanangu hawatapitahuko
Najua hauna uudar ila kukimbia ndio umeniangusha chalii, ungetembeza mkono cc kwetu unaacha ugomvi mpaka vidono vipungue makaliNilifight sikuweza kuwahimili aseeh ilikuwa nyomi nyomii.
Angalia hata accent sina udaar wowote.
Aaaah!! Af sasa hata unawezaHuyo chalii sijui siku hizi kaenda wapi. ..ila atakuwa keshakuwa mzee
Muvi ugonjwa mbaya sana, kila nikipata sh 20 tu lazima niende kuchek. Duuh my childhood was so awesomeHaa haa haa aisee hata me bla
Movie sion njia kabsa
Wanao watazkuta tu nyumbani