Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Kazi kweli kweli servants' quarter wont solve anything, kikubwa tuhuishe nyumba zetu na kuzifanya kuwa sehemu za ibada, tabia njema na kuchunga mipaka... wewe unafikiri hadhi ina matter kwa wanaume? Wewe maziwa yamelala mwenzio bado asubuhi unamwacha kuwa huru na mumeo eti mlugaluga!!!!! weka mipaka, funga na cctv kabisa ikiwezekana