1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
Kaka The Icebreaker Unanikanyanga An ...Ki U KWELI Sina I'd Zaidi Ya Hii #I_SWEARTusikate tamaa,hata tukipigwa ban kwa ID zetu,tufungue tu nyuzi hata kwa ID zetu zingine ambazo hua ni kama spare,
Sijui hata nilitaka kuandika nini! Ngoja ninywe maji kwanza nitarudi kuchangia uzi.
Sina Neno... mwehu ndamanikweli hata hapa JF tusikate tamaa, tuendelee tu kufungua ID mbili mbili . Na kuja na mada tano tano huku na kule bila kusahau kujijibu na kuleta taharuki
PIa tukizidiwa na ukali wa maisha tusiogope kuanzisha Uzi na kuomba elfu 20nikweli hata hapa JF tusikate tamaa, tuendelee tu kufungua ID mbili mbili . Na kuja na mada tano tano huku na kule bila kusahau kujijibu na kuleta taharuki
Well Said Kaka The Icebreaker Noted ✍️Maisha ni kutokukata tu tamaa wala kuona aibu pale unapofanya jambo la halali ambalo litakupatia riziki,
Discipline and attitude pamoja na uaminifu ndio iwe silaha yako na kumtanguliza Mungu,kua na mipango ya muda mrefu na muda mfupi,jifanyie tathmini kuona kua unasonga mbele? Unarudi nyuma? Au upo pale pale,huwezi kufanya jambo lile lile na kwa njia ile ile halafu utegemee matokeo tofauti,
Maisha ni kama Kioo,yanakureflect jinsi utakavyo yaface,ukilia yatalia na wewe na ukicheka yatacheka na wewe.
The Icebreaker 🤟🙏✍️PIa tukizidiwa na ukali wa maisha tusiogope kuanzisha Uzi na kuomba elfu 20
Na upwiru ukitupanda tuanzishe nyuzi na kutaja majina ya member wenye ID za kike, na kuanza kuwaomba nyapu hovyo hovyoPIa tukizidiwa na ukali wa maisha tusiogope kuanzisha Uzi na kuomba elfu 20
mwehu ndama 🤣🤣🤣🤣🤟🙏✍️ Ila No More Words BrotherNa upwiru ukitupanda tuanzishe nyuzi na kutaja majina ya member wenye ID za kike, na kuanza kuwaomba nyapu hovyo hovyo
Na hao wanawake wakitukataa tunaanzisha tena uzi na kusema kua JF hakuna pisi kali,wote ni mishangazi tu.Na upwiru ukitupanda tuanzishe nyuzi na kutaja majina ya member wenye ID za kike, na kuanza kuwaomba nyapu hovyo hovyo
Nimemkumbuka jamaa de gunner AseeeNa hao wanawake wakitukataa tunaanzisha tena uzi na kusema kua JF hakuna pisi kali,wote ni mishangazi tu.
mwisho umma wa JF ukipandwa na hasira na kutuona hamnazo. Tuje na nyuzi zingine za kuomba radhi na kujidhalilisha Kisha tuikimbie hiyo IDNa hao wanawake wakitukataa tunaanzisha tena uzi na kusema kua JF hakuna pisi kali,wote ni mishangazi tu.
mwehu ndama 🤣🤣🤣🤣🤟mwisho umma wa JF ukipandwa na hasira na kutuona hamnazo. Tuje na nyuzi zingine za kuomba radhi na kujidhalilisha Kisha tuikimbie hiyo ID
🤣🤣🤣🤣🤣PIa tukizidiwa na ukali wa maisha tusiogope kuanzisha Uzi na kuomba elfu 20
Noted 😃 🤟 😃🤣🤣🤣🤣🤣
Nashauri next id iwe 20k
Weka NoMkuu naomba efu Tano nikale ndugu yangu Nina njaa sana Leo ni siku ya pili sijakula naomba unisaidie🙏