Kuna watu wanachekesha bila wao kujijua

Kuna watu wanachekesha bila wao kujijua

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kuna demu hapa Anatumia ooh! my God vibaya, nimemsifia ana kucha nzuri na vidole(Hand)
ety kakaanza na ooh! my God πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
Tumia kwenye vitu kama , Watu wanne wamesagwa na kata Pila, au vitendo vya unyanyasaji kufanywa sehemu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Oooh my God! yaani kasema ooh my God! hiyo sifa tu? Oh my God mwee!
 
Kuna demu hapa Anatumia ooh! my God vibaya, nimemsifia ana kucha nzuri na vidole(Hand)
ety kakaanza na ooh! my God πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
Tumia kwenye vitu kama , Watu wanne wamesagwa na katapila, au vitendo vya unyanyasaji kufanywa sehemu..
Angalia usiwe wewe ndio kichekesho
 
madhara ya wiston
We ndo chizi
emoji849.png
 
Back
Top Bottom