Ndugu zangu natumaini mpo salama lengo la thread hii ni kuhamasishana sisi binadamu kuishi kwa upendo na kutokuwa na chuki baina yetu.
Hamna mtu ambaye amekamilika kwenye hii dunia ila unakuta watu wanatumia mapungufu ya mtu kama yeye amekamilika.
Nazidi kusisitiza tu tuishi kwa upendo bila chuki kwa maana kila kitu humu duniani tutakiacha tutaondoka kama tulivo kama mungu amekubariki kuwa na fedha nyingi au mali nyingi mshukuru yeye.
Nina mengi ya kuongea ila kwa leo niishie hapa tuishi kwa upendo bila chuki na bila kubaguana.