Kuna watu wanaishi kama hawatakufa tubadilike tutubu tumrudie Muumba

Kuna watu wanaishi kama hawatakufa tubadilike tutubu tumrudie Muumba

Hii ya kusema ishi na watu vizuri sababu tutakufa Huwa naiona haina mashiko.mfano mtu anakuletea dharau wewe ukubali tu kudharaulika.kuwa mwema Kwa watu wapuuzi haijakaa sawa
Hapo kwenye dharau ndio changamoto
 
Back
Top Bottom