Umewafanya nini Ndugu?Ndugu zangu natumaini mpo salama lengo la thread hii ni kuhamasishana sisi binadamu kuishi kwa upendo na kutokuwa na chuki baina yetu.
Hamna mtu ambaye amekamilika kwenye hii dunia ila unakuta watu wanatumia mapungufu ya mtu kama yeye amekamilika.
Nazidi kusisitiza tu tuishi kwa upendo bila chuki kwa maana kila kitu humu duniani tutakiacha tutaondoka kama tulivo kama mungu amekubariki kuwa na fedha nyingi au mali nyingi mshukuru yeye.
Nina mengi ya kuongea ila kwa leo niishie hapa tuishi kwa upendo bila chuki na bila kubaguana.
Ee kafanyaje kakulia mkeo?Ufanye upumbavu halafu usichukiwe kisa tu sote tutakufa?
Hili jambo wanalipenda sana watu waovu.Ufanye upumbavu halafu usichukiwe kisa tu sote tutakufa?
HahahaEe kafanyaje kakulia mkeo?
Ndio ndio upo sahihi kabisaHili jambo wanalipenda sana watu waovu.
Anakutendea jambo baya sana tena akiwa anajitamba na majivuno.
Baadae anakwambia usiweke mambo ya zamani moyoni, usilupe kisasi, no one is perfect.
Ujinha huu China wameukataa ndio maana wanasonga
Umezingua na wewe unazinguliwa ili washenzi wengine wakome wasirudie.
Nitakufungua Ubongo kuna Watu waliishi wakafa wakaishi tena wakafa wakaishi tena wakafa halafu sasa wanaishi tena wanasubiri kufa tenaNina mengi ya kuongea ila kwa leo niishie hapa tuishi kwa upendo bila chuki na bila kubaguana.
Hapana pale hamna chuki ni vile tu watu mitazamo yenu inaona ivoChuki zipi kumchukia Manara na kumpenda Ali Kamwe? Ndio hizo au?
Leta ushahidi mzeeNitakufungua Ubongo kuna Watu waliishi wakafa wakaishi tena wakafa wakaishi tena wakafa halafu sasa wanaishi tena wanasubiri kufa tena
Fumbo la Imani
Mwelevu atalifumbua
Kuna Manzi kakutolea nje humu JF?Hapana pale hamna chuki ni vile tu watu mitazamo yenu inaona ivo
Ushahidi gani hilo ni fumbo nimekufumbia kwa hio tumia AkiliLeta ushahidi mzee
Unaonekana una chuki kwenye maisha yako hujawahi kufanya makosa nyie ndio watu ambao mnahukumu watu wengine alf makosa yenu mnayaficha muonekane wemaUfanye upumbavu halafu usichukiwe kisa tu sote tutakufa?
Point yangu sijamaanisha hukoHili jambo wanalipenda sana watu waovu.
Anakutendea jambo baya sana tena akiwa anajitamba na majivuno.
Baadae anakwambia usiweke mambo ya zamani moyoni, usilipe kisasi, no one is perfect.
Ujinga huu China wameukataa ndio maana wanasonga
Umezingua na wewe unazinguliwa ili washenzi wengine wakome wasirudie.
Watu waongo waongo ni watu wabaya sana muongo anaweza akakusababishia ufungwe muongo anaweza akakusabishia umauti katika watu nachukia ni watu waongo ukiniletea uongo uongo my friend umeisha si-entertain watu waongoUnaonekana una chuki kwenye maisha yako hujawahi kufanya makosa nyie ndio watu ambao mnahukumu watu wengine alf makosa yenu mnayaficha muonekane wema
Kweli watu waongo wabaya sana pia hao watu waongo wanaweza kusababishia ufukuzwe kazWatu waongo waongo ni watu wabaya sana muongo anaweza akakusababishia ufungwe muongo anaweza akakusabishia umauti katika watu nachukia ni watu waongo ukiniletea uongo uongo my friend umeisha si-entertain watu waongo
Tuna jadili tu kutokana na yatokanayo kwenye mada.Point yangu sijamaanisha huko