No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
Mwone huyu alipost ujinga juz baada ya necta kutangaza upya matokeo ya form 4 anajiita et sa siingekuwa siri yake tu
secret 23:20 30th May 2013
Wadau nilishakata tamaa ya maisha baada ya kupata DIV 4 ya 31 hatimaye matokeo mapya yametoka nina DIV I point 14 nina uhakika wa kwenda A'level. Daaah Nimetisha wakubwa. Kuna masela walikuwa wanapiga msuli wa kutisha wamegonga O (ZIRO) haha ha!!! Ngoja nikajipongeze daaaahhhhh. MZUKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!! !!!!!!!