donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini.
Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani nadhani walitoa in limited supply. Sasa leo katika pita pita zangu nimeikuta eBay mtu anaiuza kwa takribani dola 249 na tena hayuko nchini.
Yuko ughaibuni huko, ndio nikaamini watu wanajua kutumia fursa kwa kweli.