donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
😮 Sikuwahi kufahamu, bado inatumika?Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016 , BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini. Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani nadhani walitoa in limited supply. Sasa leo katika pita pita zangu nimeikuta eBay mtu anaiuza kwa takribani dola 249 na tena hayuko nchini, Yuko ughaibuni huko, ndio nikaamini watu wanajua kutumia fursa kwa kweli.
Inunue itapanda sana thamani hiyo.Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016 , BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi...
Ilitokaaah! pesa itoke ya hivyo na tusijue huu ni ulaghai bhana tena ya coin mnatuchukulia sisi mazwazwa sana!
Kuhusu kutumika sijajua mkuu😮 Sikuwahi kufahamu, bado inatumika?
Duuh ,haya mkuuaah! pesa itoke ya hivyo na tusijue huu ni ulaghai bhana tena ya coin mnatuchukulia sisi mazwazwa sana!
Na nasikia ilitengenezwa na pure goldInunue itapanda sana thamani hiyo.
Ilitoka na ilikuwa inauzwa hivyo hivyo 50000.Na nasikia ilitengenezwa na pure gold
Yes I meant silver mkuuIlitoka na ilikuwa inauzwa hivyo hivyo 50000.
Ilikuwa ya Silver
Unaelewa maana ya souvenir mkuu,?So ukiinunua unaifanyia nini??
Mwambie tu kwaajiri ya ukumbusho mtu anaelewa.Unaelewa maana ya souvenir mkuu,?