Kuna watu wanakera sana kila ukiweka status wanatazama.

Hafu wengine huwa kimya hawakupi hi mpaka upost picha nzuri then waanze kukuchimba chimba
 
We ni mbugila, hao wanaoona ni contacts zako ukitaka wasione ondoa option ya wao kuona kwenye status privacy!
 
Kweli ww mpumbuvu,, basi ungejiwekea mwenyewe mfukoni mwako,, unaweka ili itokee nn,, si kwa ajili ya watu waone,, ni kama wale wanao jipiga picha uchi alafu unaweka mtandaoni [emoji648]
 
yani kila ukiwela status wao wamo hata upost usiku wa sa ngapi huu ni ufala acheni mambo ya kufatiliana maisha
Utakua una matatizo wewe, status unaweka ili iweje!? Si ili watu waone? Kama hutaki usiweke otherwise weka exclusion ya contact kwenye "who can view your status"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…