love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Unavyopenda chura! Naamini upo tayari ukose hela ila si kuikosa churaVingi vizuri vipi?Hakuna zaidi ya chura rafiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyopenda chura! Naamini upo tayari ukose hela ila si kuikosa churaVingi vizuri vipi?Hakuna zaidi ya chura rafiki!
Ohh asante. Nakupenda pia, japo najua siku zangu zahesabika sababu sina kile kigezo chako pendwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chura haipo?[emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Haipo rafiki. Labda nikaitafute kwa mchina![emoji126] [emoji126]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Rafiki kama chura haipo hata hapa JF hutakiwi![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Cheka tu! Mwenzio nimechinjiwa baharini kisa! Sina chura[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole bana, kikubwa pumzi tuCheka tu! Mwenzio nimechinjiwa baharini kisa! Sina chura
[emoji16][emoji16][emoji16]wallah nakaa wala sitii shobo hapo
Kabisa rafiki!....mimi nataka chura tu basi!Unavyopenda chura! Naamini upo tayari ukose hela ila si kuikosa chura
Nimemfatilia mzee wa tabia ila sikutegemea angekufyekelea mbali kikatili hivyo kisa hauna lens mbinuko! Pole sana bibieCheka tu! Mwenzio nimechinjiwa baharini kisa! Sina chura
Hutaki mambo ya kijinga jinga kabisa mkuu, yani motorola bapa unafyekelea mbali!Kabisa rafiki!....mimi nataka chura tu basi!
Mambo ya kijinga jinga sijui pesa na nini wala sitaki mkuu!Hutaki mambo ya kijinga jinga kabisa mkuu, yani motorola bapa unafyekelea mbali!
Asante ExtrovertNimemfatilia mzee wa tabia ila sikutegemea angekufyekelea mbali kikatili hivyo kisa hauna lens mbinuko! Pole sana bibie
Utakua una matatizo wewe, status unaweka ili iweje!? Si ili watu waone? Kama hutaki usiweke otherwise weka exclusion ya contact kwenye "who can view your status"yani kila ukiwela status wao wamo hata upost usiku wa sa ngapi huu ni ufala acheni mambo ya kufatiliana maisha