Henken sio bia....... Hizo ni juisi. Waambie waamie kwenye SAFARI THE KICK AU BALIMINipo hapa kwenye harusi ya rafiki angu kumpa kampani.
Classmates tumechukua meza nzima. Hawa jamaa wanapeleka pombe aibu. Na hakuna aliefikisha 30.
Ila toka waingie hadi sasa kila mmoja ameshusha heineken kama 8 hivi na hata nusu ya harusi haijafika.
Dah. Nimewakubali.
Huyo anaonyesha ni mwendo wa azm mango juice.Na wewe ushapiga ngapi? Sio kuzungumzia ya wenzako tu
hao ndio wanaume was dar wanakunywa Heineken, Windhoek na c lite...alafu wanazima daaah!! ukiwapa balimi je??Henken sio bia....... Hizo ni juisi. Waambie waamie kwenye SAFARI THE KICK AU BALIMI
Sasa unakunywa nn?,manake kama ungekuwa unakunywa pombe usingekuwa na mida wakuwashikia wenzio vizibo.Azam chafu bhana.
Sinywi hiyo kitu.
5%. Au standards zako alcohol inatakiwa iwe ngap?
Duuh huo mchanganyiko,sijawahi usikia.Nasukuma glass yangu ya dompo mixed with mirinda nyeusi.
How sweet it is.?
Balimi ilitaka kuniua.Hapana chezea hiyo kitu aseehao ndio wanaume was dar wanakunywa Heineken, Windhoek na c lite...alafu wanazima daaah!! ukiwapa balimi je??