Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Nipo hapa kwenye harusi ya rafiki angu kumpa kampani.
Classmates tumechukua meza nzima. Hawa jamaa wanapeleka pombe aibu. Na hakuna aliefikisha 30.
Ila toka waingie hadi sasa kila mmoja ameshusha heineken kama 8 hivi na hata nusu ya harusi haijafika.
Dah. Nimewakubali.