Kuna watu wanakunywa BIA hatari.

Sisi tufanyeje?
Tuwakataze?
Umewauliza kwanini wanakunywa hivo?
 
Id.BAVARIA.lazima utakua na share na kiwanda cha ze lager
 
Basi sawa
 
hiyo ni juice,sio pombe
 
Heinken ni kama soda tu,kilevi ni kidogo sana. Halafu ukinywa ata mia upati hang over
Kwa wasiojua Heineken watazidharau na kuziiita juice.Lakini zinalewesha sana na % ya alcohol inakaribiana na safari lakini ni pombe flani hivi ya kistaarabu ambayo hata unywe vipi haikusumbui kichwani.Unalewa kistaarabu sana.
 
Nna glass ya overmeer. Halafu chungu kinoma. Imenibidi nichanganye na mirinda nyeusi.
Hiyo itakuwa ni dry labda mara ya pili waulize kama kuna overmeer semi sweet wakupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…