Kuna watu wanakupenda wewe au wanapenda kile wanachopata kupitia wewe?

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari. Wakati mwingine mtu anaweza kuonekana anakujali sana, lakini unapopunguza kusaidia, kutoa pesa, kutatua matatizo yake au kumpa kile alichokizoea kutoka kwako, ghafla ukaribu unapungua.

Lakini pia si kila mtu anayepunguza ukaribu anakuwa na nia mbaya; huenda maisha yake yamebadilika.

Swali langu ni hili: Unawezaje kutofautisha mtu anayekupenda kwa dhati na mtu anayekuthamini kwa sababu ya faida anayoipata kupitia wewe?

Je, umewahi kukutana na hali kama hii?
 
Ukimwangalia Mzazi wako au wazazi namna walivyosimama nawe mpaka hapo ulipo..sisemi wazazi wawekezaji.
Kwenye hii Dunia wako watu watakupenda kwa namna zao ,uwe na hela na usiwe nazo wapo,ila ni rare sana kupatikana.

1.Tunakaa nawe kwa kuwa uko na status na pia tukakuchukia pasipo kupepesa ukiondoka na ukifulia.

2.Tunakaa nawe kwa kuwa akili yako na mawazo yako ndio mafanikio yetu na njia zetu kupita na kutoka.

3.Tunakaa nawe kwa kuwa wewe hujaelewa thamani yako na hujaamua kuishi wewe kama wewe
 
Facts!!!
 
Upendo always ni conditional, mtu atakupenda iwapo anafaidika na wewe kwa namna yeyote ile.

Inaweza ikawa emotionally, psychologically, sexually, financially, socially etc.

Kujua kama anakupenda jinsi ulivyo (emotionally, psychologically, sexually) au sababu ya extrinsic factors (financially, socially) punguza hizo external favours then angalia mwenendo wake.
 
Ukimwangalia Mzazi wako au wazazi namna walivyosimama nawe mpaka hapo ulipo..sisemi wazazi wawekezaji.
Kwenye hii Dunia wako watu watakupenda kwa namna zao ,uwe na hela na usiwe nazo wapo,ila ni rare sana kupatikana.

1.Tunakaa nawe kwa kuwa uko na status na pia tukakuchukia pasipo kupepesa ukiondoka na ukifulia.

2.Tunakaa nawe kwa kuwa akili yako na mawazo yako ndio mafanikio yetu na njia zetu kupita na kutoka.

3.Tunakaa nawe kwa kuwa wewe hujaelewa thamani yako na hujaamua kuishi wewe kama wewe
Uzi ufungwe.
 
Dah sina cha kuongeza kwakweli.
 
Back
Top Bottom