Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Facts!!!Ukimwangalia Mzazi wako au wazazi namna walivyosimama nawe mpaka hapo ulipo..sisemi wazazi wawekezaji.
Kwenye hii Dunia wako watu watakupenda kwa namna zao ,uwe na hela na usiwe nazo wapo,ila ni rare sana kupatikana.
1.Tunakaa nawe kwa kuwa uko na status na pia tukakuchukia pasipo kupepesa ukiondoka na ukifulia.
2.Tunakaa nawe kwa kuwa akili yako na mawazo yako ndio mafanikio yetu na njia zetu kupita na kutoka.
3.Tunakaa nawe kwa kuwa wewe hujaelewa thamani yako na hujaamua kuishi wewe kama wewe
Uzi ufungwe.Ukimwangalia Mzazi wako au wazazi namna walivyosimama nawe mpaka hapo ulipo..sisemi wazazi wawekezaji.
Kwenye hii Dunia wako watu watakupenda kwa namna zao ,uwe na hela na usiwe nazo wapo,ila ni rare sana kupatikana.
1.Tunakaa nawe kwa kuwa uko na status na pia tukakuchukia pasipo kupepesa ukiondoka na ukifulia.
2.Tunakaa nawe kwa kuwa akili yako na mawazo yako ndio mafanikio yetu na njia zetu kupita na kutoka.
3.Tunakaa nawe kwa kuwa wewe hujaelewa thamani yako na hujaamua kuishi wewe kama wewe
Hahahah! kwaniniUzi ufungwe.
Hahahah! kwakweliWe utapenda ambapo uaona haubenefit kitu chochote kweli
Labda upendo wa yesu😹
Umemaliza kila kitu.Hahahah! kwanini
Dah sina cha kuongeza kwakweli.Ukimwangalia Mzazi wako au wazazi namna walivyosimama nawe mpaka hapo ulipo..sisemi wazazi wawekezaji.
Kwenye hii Dunia wako watu watakupenda kwa namna zao ,uwe na hela na usiwe nazo wapo,ila ni rare sana kupatikana.
1.Tunakaa nawe kwa kuwa uko na status na pia tukakuchukia pasipo kupepesa ukiondoka na ukifulia.
2.Tunakaa nawe kwa kuwa akili yako na mawazo yako ndio mafanikio yetu na njia zetu kupita na kutoka.
3.Tunakaa nawe kwa kuwa wewe hujaelewa thamani yako na hujaamua kuishi wewe kama wewe
Maisha ndivyo yanavyokuwaDah sina cha kuongeza kwakweli.
Wanapenda wanachopata kupitia wewe!