Kuna watu wanakutafuta uwe karibu na wao si kwa sababu wanakupenda

Kuna watu wanakutafuta uwe karibu na wao si kwa sababu wanakupenda

MNEKI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
992
Reaction score
1,311
Lakini future ya kwako ni kubwa , wachawi na waganga na washirikina na wasoma nyota wanaiyona na kuna watu wanakutafuta uwe karibu na wao si kwa sababu wanakupenda, wanataka wachukue kilicho ndani halafu baadae wataachana na wewe baada ya muda

 
Sio ushirikina per see ila ni husda na wivu hipelekea mtu kutaka kuwa karibu na wewe ili apate ulichonacho awe nacho yeye. Wengi ni tamaa...

Nikiwa chuo hostel za wadada, sina hili wala lile kuna kaka alinipenda ule upeo akiwa mwaka wa 3 mimi ndo 1st year.
Sasa aliona ili anipate awe karibu na wadada niliokaribu nao, akawaambia nia yake ila aliwaambia msimwambie ntatumia njia zangu kumpata.


Hakujua kumbe ndo anapepeprusha ndege wake, wale wadada tena walikuwa walokole kumbe nawenyewe walimzimia yule kaka. Wakaona Kasinde hamalizi mwaka wa 3 ndoa hii hapa halafu kijana alikuwa mambo safi familia bora sema alikuwa anaishi low profile sana.

Aliniambia nia yake ila sikumtilia maanani maana alikuwa na masihara mengi na muda mwingi aliokuwa na mimi alifanyq masihara mengi mnoo nikawa namuona kama mshkaji tuu. Nikawashirikisha wale wadada ambao niko nao hostel wakaniambia huyo kaka achana nae, sisi wote anatuambia maneno hayohayo anayokwambia wewe, hayuko sirias hata kidogo..... basi nikampotezea mazimaaa.

Aliumia sana mie sijui, nilipokuwa mwaka wa tatu ndo akanifata na kuniambia yotee na wale uliiona rafiki zako actually walikuwa wabaya zako....

Karma is a bitch, hao wadada wote walikuja kuolewa na wanaume wengine ila ndoa zao zilikuwa na mateso na walikuja kuachana vibaya na waume zao.

All in all, in my whole life I never meant/wish any bad thing to anyone, God knows ila kuna watu wana wivu mbaya.
 
Back
Top Bottom