Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema viongozi wawe mfano bora kwa matamko yao. Maneno NONSENSE, VIDRAMA, MIKIA, SISIMIZI na zingine viachwe na Viongozi.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
View attachment 3116625

Usitumie mifano usiyo na uhakika nayo.Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi)
Hao wa kufinywa tu.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Unajua Marekani wewe uvccm ama unasimuliwa tu?Marekani hii kitu haipo( wanakosoa
Unaijua marekani wewe? Kule rais anatukanwa matusi ambayo hujawahi kuyasikia na watu wanaendelea na maisha...hapa kwetu kama kutukana ni jinai basi wapelekwe mahakamani...kama siyo jinai wataendelea kutukanwa wakifanya upumbavu...upumbavu mwingine unatakiwa kukosolewa kwa kudhalilishana, hamna namna nyingineView attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Ukijiheshimu utaheshimiwa, heshima sio hisani ni lazima! Uongozi sio umungu (divine) uongozi ni dhamana.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Watu wanakosoa lakini ninyi mnasema ni matusi.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Naunga mkono hoja,kutukana viongozi, kutoa lugha chafu na kuwasingizia mambo ambayo hawajayafanya kisa tu uichafue serikali ni tabia za kishenzi na hazifai katika nchi yetu.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Wametukana, wamesema nini? Wametukana lini? Wametoa matusi gani? Umerukia kwenye conclusion bila kuweka wazi hoja yako. Unataka tujadili conclusion? Hoja hapa JF haitakiwi kuletwa kama mahubiri ambapo wote yabidi tuitikie, Amin.View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Hao watukanwe kabisa kuinesha kutoridhikaNa unasemaje kuhusu wale viongozi wanaosema hawawezi kupeleka maendeleo walikochagua upinzani wakati kodi tunalipa wote?
Una uhakika Marekani unayoizungumzia ni hii wengine tunayoifahamu au ni marekani nyingine!View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
View: https://youtu.be/gLuHDKlN2Wc?si=6M3TKP5JAyK6E5K9
Marekani ya mtumbo ama? Kwa taarifa yako hakuna sehemu duniani viongozi wanaheshimiwa kupita kiasi kama africa
Upo sahihi Ila Kama MTU unataka usitukanwe mitandaoni na sehemu mbalimbali unabidi ukae mbali na siasa.
Ila viongozi hao hao kuwaambia Wananchi sisi ndo mabosi wao kwamba Tumeota mikia nisawaView attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
USA-RIVER mbele ya MakumiraMarekani ipi?