Waswahili mna maneno ya shombo sana. Unadhani kulima siku hizi ni rahisi sana kama zamani wakati mvua ni ya uhakika na hakuwa na pembejeo za gharama kama saizi.Arudi Kijiji akalime kama unaweza mtafutie kibarua ila usikutupuke. Usimuonee sana mtu huruma katika hali aliyonayo hujui alipotokea jipe muda kujua sababu za kuwa na hali hiyo.
Hii ni riwaya ya kutunga, ht km hana hela ndiyo asifanye usafi?Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa.
Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata.
Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana nikamuuliza vitu mzee akanambia kama ninavomuona nilimhurumia sana nikampatia 50000 ya kumsaidiasaidia.
Tukaenda adi alipopanga tulipofika akanambia ndio hapa binapoishi asee nje kuchafu choo hakuna, bafu hakuna, maji hakuna, umeme hakuna nikaamua nimuulize unaishije sasa ndugu yangu akasema ni kawaida ameshazoea maisha hayo.
Tukaongozana kuelekea ndani mlango ulikuwa umefungwa tulipokaribia mlangoni kwake akainama akaokota jiwe nikamuuliza vipi tena mbona jiwe tena akacheka akasema hili sio jiwe ni funguo yangu mara akapiga jiwe juu ya kufuri, kufuri likafunguka nilisitajabu sana.
Alipofungua mlango tu ivi asee chumba hakina sakafu nzuri madirisha hakuna nilipowasha kitochi cha simu hakun godoro analala kwenye mkeka tu
Chumba kichafu sana harufu kali sana ya nguo chafu vyombo kama vinamiaka havijaona maji.
nilishindwa kukaa pale nilimpa pesa kidogo nikaenda zangu kulala lodge
Dar anamiaka karibia kumi lakini hata godoro hana
FUNZO,UNAPOPATA MAISHA MAZURI MSHUKURU MUNGU SANA MAANA KUNA WATU WANAISHI KAMA WANYAMA .
Nakubali ma mtu.nipo BAMTU
Kilimo ni mbadala wenye angalau tofauti na kuajiriwa sababu utapata chakula na taratibu utapata mtaji na maisha yanasonga. Sehemu kubwa ya kipato cha mjini kinaishia kwenye chakula hasa una kipato cha kati na chiniWaswahili mna maneno ya shombo sana. Unadhani kulima siku hizi ni rahisi sana kama zamani wakati mvua ni ya uhakika na hakuwa na pembejeo za gharama kama saizi.
Pia wengi mnajua kulima ni adhabu na kwa vile mko Mjini mnajua maisha mmeyamaliza ila kwa taarifa yenu nawaomba mjaribu kutembea muone watu wanalima na wana miliki vitu vikubwa kuliko hata sisi tuliobanana hapa Dar hata hewa nzuri shida.
Bado hali ya maisha ni ngumu popote pale sio mjini wala Kijijini na hii hali ya kukalili maisha kuwa ni Mjini hasa Dar es Salaam ni anguko kubwa sana kwa vijana wengi.
Kweli lakini uchafu ni tabia ya mtu. Usichanganye vitu hali au maisha magumu na uchafuNi mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa.
Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata.
Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana nikamuuliza vitu mzee akanambia kama ninavomuona nilimhurumia sana nikampatia 50000 ya kumsaidiasaidia.
Tukaenda adi alipopanga tulipofika akanambia ndio hapa binapoishi asee nje kuchafu choo hakuna, bafu hakuna, maji hakuna, umeme hakuna nikaamua nimuulize unaishije sasa ndugu yangu akasema ni kawaida ameshazoea maisha hayo.
Tukaongozana kuelekea ndani mlango ulikuwa umefungwa tulipokaribia mlangoni kwake akainama akaokota jiwe nikamuuliza vipi tena mbona jiwe tena akacheka akasema hili sio jiwe ni funguo yangu mara akapiga jiwe juu ya kufuri, kufuri likafunguka nilisitajabu sana.
Alipofungua mlango tu ivi asee chumba hakina sakafu nzuri madirisha hakuna nilipowasha kitochi cha simu hakun godoro analala kwenye mkeka tu
Chumba kichafu sana harufu kali sana ya nguo chafu vyombo kama vinamiaka havijaona maji.
nilishindwa kukaa pale nilimpa pesa kidogo nikaenda zangu kulala lodge
Dar anamiaka karibia kumi lakini hata godoro hana
FUNZO,UNAPOPATA MAISHA MAZURI MSHUKURU MUNGU SANA MAANA KUNA WATU WANAISHI KAMA WANYAMA .
Nifundishe kunyamaza
Kulangwa ndio Dar ya sehemu gani??Ni mwaka fulani nipita apo Dar, nikaamua nipite kwa mshikaji wangu wa kitambo tulisoma wote huko kanda ya ziwa.
Nilimtafuta akanambia yeye yupo kulagwa akanambia hana ela ya usafiri kunifata nilipo nikaona isiwe shida nikamfuata.
Nilipofika asee sikuamini maisha yamemponda sana ile sana nikamuuliza vitu mzee akanambia kama ninavomuona nilimhurumia sana nikampatia 50000 ya kumsaidiasaidia.
Tukaenda adi alipopanga tulipofika akanambia ndio hapa binapoishi asee nje kuchafu choo hakuna, bafu hakuna, maji hakuna, umeme hakuna nikaamua nimuulize unaishije sasa ndugu yangu akasema ni kawaida ameshazoea maisha hayo.
Tukaongozana kuelekea ndani mlango ulikuwa umefungwa tulipokaribia mlangoni kwake akainama akaokota jiwe nikamuuliza vipi tena mbona jiwe tena akacheka akasema hili sio jiwe ni funguo yangu mara akapiga jiwe juu ya kufuri, kufuri likafunguka nilisitajabu sana.
Alipofungua mlango tu ivi asee chumba hakina sakafu nzuri madirisha hakuna nilipowasha kitochi cha simu hakun godoro analala kwenye mkeka tu
Chumba kichafu sana harufu kali sana ya nguo chafu vyombo kama vinamiaka havijaona maji.
nilishindwa kukaa pale nilimpa pesa kidogo nikaenda zangu kulala lodge
Dar anamiaka karibia kumi lakini hata godoro hana
FUNZO,UNAPOPATA MAISHA MAZURI MSHUKURU MUNGU SANA MAANA KUNA WATU WANAISHI KAMA WANYAMA .
πππππMpuuzi umekuja kunitangaza huku jeiefu,
Blood πNaona wengi mnashindwa kuelewa utofauti kati ya Maisha magumu, Mali na Hali.
Mtu anaweza kuwa hana kipato[Mali] lakini ana hali ya usafi, afya njema iliyotunzwa na ana furaha tu kwasababu anaamini anaelekea pazuri.
Uchafu, Ulevi na Kupenda ngono ni tabia ambazo hata watu matajiri wanazo.
Kuna watu hawana mali ila wana hali nzuri kiusafi na kitabia.
Nakubali Familia.Blood π
Lakini ndo jiji lenye mamilionea na mabilionea wa kutosha. Hiyo ndo maana ya jiji. Fuatilia Majiji yote Duniani yana mafukara wa mwisho kabisa na mabilionea wakubwa zaidi. Hii ndo Dar.Hakuna mkoa wenye vituko (maisha duni, uchafu na kutostaarabika) kama Dar, HAKUNA.
Anaweza kumtoa hapo tu mwamba akarejelewa na akili zake akabadilika kabisaAt least ulimpa fedha kidogo,safi sana,
Kama una uwezo kiasi,muulize ana fanya issue gani ili umsapoti kwenye hizo issue zake,au ajaribu maisha kwingine na sio kuendelea kupoteza time yake Dar tu,
Kitendo cha wewe kumtafuta mtu mliyesoma nae,kinaonyesha una moyo wa upendo na una jali,
Pia kitendo cha huyo rafiki yako kukuonyesha maisha yake halisi bila kukuficha,kina ashiria kua nae ni mtu mwema japo bado hajajipata.