Ile Bilioni ya robo fainali anaitaka kuirudisha kiwandani kuzalisha Mo energy.
InafikaMo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.
Kwenye usajili wa simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?
Au Mo anapigwa.
View attachment 2562412
Yeye mwenyewe wala hajali, ana utajiri wa Trilioni 3.4 (yaani bilioni afu tatu miane) 🤣Au Mo anapigwa.
Tuachie simba hamia azamKuna uongo mwingi sana kwenye usajili.
Ndio sehemu KUU ya WIZI, uhuni, upigaji, ulaji.
MO NA KAMATI NA KILA KITU WOTE NI WAONGO NA WEZI.
Ila kanjibai anawaokota sana makolo, yaani jamaa aliacha kununua benki kwa 20 Bilioni akaamua awekeze kwenye biashara inayompa hasara? Tena leo angekuwa na benki 4 maana alisema kashaweka bilioni 80 ila leo anasema kaweka bilioni 50 sawa na benki 2 na chenchi ya bilioni 10Kuna uongo mwingi sana kwenye usajili.
Ndio sehemu KUU ya WIZI, uhuni, upigaji, ulaji.
MO NA KAMATI NA KILA KITU WOTE NI WAONGO NA WEZI.
Kama hajali kwanin analalamikaYeye mwenyewe wala hajali, ana utajiri wa Trilioni 3.4 (yaani bilioni afu tatu miane) 🤣
Umesahau pia usajili wa kocha Zoran, Juma Mgunda aka Guardiola mnene! Biliion 1.5 kitu gani bhana!! Kwanza ilikuwa bado haitoshi.Inafika
1. Okra zaidi ya 200ml
2. Okwa zaidi ya 150ml
3. Dejan zaid ya 300ml
4. Outara Zaid ya 100Ml
5. Akpan n kesho 100ml
6. Kapama si chin ya 50ml
7. Kyombo si chini ya 50ml
8. Moses Phiri sichini ya 250ml
Bado kuongeza mikataba ya akina Manula, Kapombe etc, pia kuvunja mikataba ya wasiohitajika Kama Kagere, Mugalu na Lwanga
Umemsahau Moses Phiri zaidi ya mil 200...Inafika
1. Okra zaidi ya 200ml
2. Okwa zaidi ya 150ml
3. Dejan zaid ya 300ml
4. Outara Zaid ya 100Ml
5. Akpan n kesho 100ml
6. Kapama si chin ya 50ml
7. Kyombo si chini ya 50ml
8. Moses Phiri sichini ya 250ml
Bado kuongeza mikataba ya akina Manula, Kapombe etc, pia kuvunja mikataba ya wasiohitajika Kama Kagere, Mugalu na Lwanga
Sorry nilikuwa sijasoma jina la mwishoUmemsahau Moses Phiri zaidi ya mil 200...
Kamuulize yeye mwenyeweMo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.
Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?
Au Mo anapigwa.