Kuna Watu Wanamuibia MO au MO Anadanganya?

Kuna Watu Wanamuibia MO au MO Anadanganya?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.

Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?

Au Mo anapigwa.

20230323_101123.jpg

Ile Bilioni ya robo fainali anaitaka kuirudisha kiwandani kuzalisha Mo energy.

Kuna shida gani?
Wewe unaumia nini sasa...!?
Club yako unayoishabikia ulishawahi hata kuichangia 100?
 
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.

Kwenye usajili wa simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?

Au Mo anapigwa.
View attachment 2562412
Inafika

1. Okra zaidi ya 200ml
2. Okwa zaidi ya 150ml
3. Dejan zaid ya 300ml
4. Outara Zaid ya 100Ml
5. Akpan n kesho 100ml
6. Kapama si chin ya 50ml
7. Kyombo si chini ya 50ml
8. Moses Phiri sichini ya 250ml

Bado kuongeza mikataba ya akina Manula, Kapombe etc, pia kuvunja mikataba ya wasiohitajika Kama Kagere, Mugalu na Lwanga
 
Kuna uongo mwingi sana kwenye usajili.

Ndio sehemu KUU ya WIZI, uhuni, upigaji, ulaji.

MO NA KAMATI NA KILA KITU WOTE NI WAONGO NA WEZI.
 
Kuna uongo mwingi sana kwenye usajili.

Ndio sehemu KUU ya WIZI, uhuni, upigaji, ulaji.

MO NA KAMATI NA KILA KITU WOTE NI WAONGO NA WEZI.
Ila kanjibai anawaokota sana makolo, yaani jamaa aliacha kununua benki kwa 20 Bilioni akaamua awekeze kwenye biashara inayompa hasara? Tena leo angekuwa na benki 4 maana alisema kashaweka bilioni 80 ila leo anasema kaweka bilioni 50 sawa na benki 2 na chenchi ya bilioni 10
😂
😂
 
Inafika

1. Okra zaidi ya 200ml
2. Okwa zaidi ya 150ml
3. Dejan zaid ya 300ml
4. Outara Zaid ya 100Ml
5. Akpan n kesho 100ml
6. Kapama si chin ya 50ml
7. Kyombo si chini ya 50ml
8. Moses Phiri sichini ya 250ml

Bado kuongeza mikataba ya akina Manula, Kapombe etc, pia kuvunja mikataba ya wasiohitajika Kama Kagere, Mugalu na Lwanga
Umesahau pia usajili wa kocha Zoran, Juma Mgunda aka Guardiola mnene! Biliion 1.5 kitu gani bhana!! Kwanza ilikuwa bado haitoshi.
 
Inafika

1. Okra zaidi ya 200ml
2. Okwa zaidi ya 150ml
3. Dejan zaid ya 300ml
4. Outara Zaid ya 100Ml
5. Akpan n kesho 100ml
6. Kapama si chin ya 50ml
7. Kyombo si chini ya 50ml
8. Moses Phiri sichini ya 250ml

Bado kuongeza mikataba ya akina Manula, Kapombe etc, pia kuvunja mikataba ya wasiohitajika Kama Kagere, Mugalu na Lwanga
Umemsahau Moses Phiri zaidi ya mil 200...
 
Mo anasema kuwa mwaka jana katika dirisha kubwa la Usajili alitoa kiasi cha bilion 1.5 ili kisaidie kufanya usajili wa wachezaji wapya.

Kwenye usajili wa Simba, hivi kwa kutazama wachezaji waliosajiliwa mwaka jana wanafika bilion 1.5 kweli..?

Au Mo anapigwa.

Kamuulize yeye mwenyewe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom